Saturday, July 9, 2016

Ile tattoo kwenye mkono wa Shilole iliyokuwa na jina la Ex Wake msanii wa Bongo fleva Nuh Mziwanda imefutwa na Shilole na badala yake ameweka ala ya muziki na kuandika Shishi Baby.

shilolee 1

0 comments:

Post a Comment