Saturday, July 9, 2016

tyga-kingin-s2

Ni kweli rapper wa Nigeria, Wizkid anatoka na meneja wake, Jada?
Wizkid akiwa na meneja wake, Jada

Wizkid amewaacha mashabiki wake kwenye mabano baada ya kuwepo kwa taarifa za chini kuwa ameingia kwenye mahusiano mapya na meneja wake wa nchini Uingereza, Jada.
Picha aliyopost Wizkid akiwa na Jada kwenye akaunti yake ya instagram ndiyo iliyoongeza maswali zaidi baada ya kuandika, “@__jada.p forever my G!! 💥.”
cristiano-ronaldo_amlzub6ckmtz1gg96ijpc475c
Meneja wa Wizkid, Jada
Neno G aliloliandika Wizkid kwenye picha hiyo limetafsiriwa na wengi kwa kirefu cheke kuwa ni ‘Girlfriend’ japo humaanisha pia ‘Gangster.’ Ni muda mrefu staa huyo hajayaweka mahusiano yake wazi tangu alipoachana na aliyekuwa mpenzi wake, Tania Omotayo.

0 comments:

Post a Comment