Thursday, July 21, 2016

Imevuja! Siku chache baada ya Mbongo Fleva, Emanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kukamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuhusu chanzo cha utajiri wake wenye utata, mwenzake katika fani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ naye amekumbana na kimbembe cha kuchunguzwa na TRA, Amani lina kitu mkononi.
TRA ni Mamlaka ya Mapato Tanzania ambayo inajishughulisha na ukusanyaji wa kodi kwa wafanyabiashara na wananchi kwa jumla ili kuiletea nchi maendeleo kutokana na pesa hizo za kodi.

0 comments:

Post a Comment