STORI: Waandishi wetu, Wikienda
Dar
es Salaam: Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemmwagia
aliyewahi kuwa Miss Ruvuma, Neema Chande, minoti ya zaidi ya shilingi
milioni sita na kusababisha minong’ono kuwa alizifuma wapi?
Tukio
hilo la kufuru ya aina yake lilijiri kwenye Ukumbi wa PJ uliopo
Kinondoni, Dar ambapo Neema aliandaliwa Kibaokata cha kumuaga tayari kwa
kuolewa wikiendi iliyopita.
Hata
hivyo, baadhi ya waliohoji sababu ya Aunt kutoa hela zote, mwenyewe
aliwajibu kuwa alitoa mshiko huo kwa sababu ya urafiki walionao na Nice
kwani si urafiki tu kwa sasa umekuwa undugu.
Kwa upande wake Nice alimmwagia Neema zawadi kibao zikiwemo dhahabu zilizowatoa udenda waalikwa.
0 comments:
Post a Comment