DAR
ES SALAAM: Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ hivi
karibuni amekwenda kumlilia mumewe, Faraji Chambo anayetumikia kifungo
cha miaka kumi na mbili gerezani.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Kajala, mwanamama huyo alitinga kwenye Gereza la Ukonga, Dar alikofungwa mumewe ambapo alipata nafasi ya kumjulia hali kisha kumwaga machozi akimuonea huruma anavyosota gerezani hasa akikumbuka walivyokuwa wakiishi kabla ya msala huo.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment