Thursday, July 14, 2016


Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama’ke mzazi, Lucresia Karugila.

Dar es Salaam: Ni laana? Katika hali ya kushangaza, mwigizaji asiyeonekana lokesheni wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameonesha tabia
ya chafu mbele ya mama’ke mzazi, Lucresia Karugila baada ya kuporomosha matusi mazito kufuatia kuhojiwa kuhusu habari ya yeye kudaiwa kuhamia kwa mchumba’ke aishiye Kigamboni jijini Dar 


0 comments:

Post a Comment