Posted by Williammalecela.com on Saturday, July 09, 2016
WAKATI
vuguvugu la ujauzito wa mkongwe wa fi lamu Naija, Ini Edo likiendelea
kushika kasi, mchumba wake ambaye pia ni staa, Mike Godson amelizima
kiana kwa kuachia picha mitandaoni zikimuonesha akiwa katika mavazi ya
kike.
Picha
hizo zilizozua gumzo zinamuonesha Mike akiwa katika gauni refu jekundu
huku kichwani akiwa amevalia nywele bandia, mkononi akiwa na pochi
kubwa. Inaelezwa kuwa katika picha hizo Zinazosambaa alikuwa katika
maandalizi ya fi lamu yake mpya.
0 comments:
Post a Comment