Naomba
niseme kitu na nieleweke tafadhal, Sijawahi hata siku moja kwenda kwa
hata mmoja wenu na kumgongea kuomba hata hela ya chumvi.... My life
concerns me.... Na hata siku nikifa nakufa mwenyewe, Majibu kwa Mungu
naenda kujibu alone.... Niacheni Jamani.... Nimechoka......! Jus leave
me Alone...!!! Kama nakukera na maisha yangu basi usiyafatilie.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment