
Hivi
ndivyo shilole a.k.a shishy baby alivyo tokelezea kwenye party ya black
tie na kusifiwa na mashabiki zake, wakionesha ni jinsi gani wanamkubali
mlimbwende huyo kutoka kiwanda cha bongo fleva. Baadhi ya vidume
wengine wakidondosha udenda wa kumtamani na kutaka kuwa naye huku yeye
akiendelea na kauli mbiu yake ya #hatutoikiki
0 comments:
Post a Comment