MUDA mchache uliopita,nchini Marekani aliyekuwa muwania Urais kuptia kiti cha Democrat Bernie ameamua kumwachia nafasi hiyo mshindani wake katika Chama hiko Bi Hillary Clinton ambapo kwa muktadha huo Bi Hillary anakuwa na 100% ya kupeperusha Bendera ya Democrat katika uchaguzi ujao wa Marekani kwa nafasi ya Urais,.
Baada ya tukio hilo kujiri,Mgombea Urais wa nafasi hiyo ya Urais kupitia chama cha Republican Party ambaye naye anawania kuidhinishwa na chama chake,Donald Trump ameamjia juu Bernie na kumshangaa kwa kitendo chake ambacho amesema ni kutojiamini kwa mgombea huyo.
Trump ambaye ni maarufu kwa kusema HOVYO,pia ametumia nafasi hiyo kuwavuta wafausi wa BERNIE kumuunga mkono yeye huku akisema kuwa yeye atasimamia maono ya Bernie
"To all the Bernie voters who want to stop bad trade deals & global special interests, we welcome you with open arms. People first."— Donald J. Trump (@realDonaldTrump) July 12, 2016

0 comments:
Post a Comment