Friday, July 22, 2016

KIDOA-61
Kidoa
MIAKA ya nyuma kidogo, wasanii wengi wa muziki hususan Bongo Fleva walikuwa wakiandaa video za nyimbo zao hapahapa Bongo lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na dhana kwamba ‘kichupa’ kikitengenezwa nje ya nchi kinakuwa bomba zaidi.

Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuamini kutengeneza video nje ya nchi kunawapa ‘connections’ kubwa kwani madairekta wanajuana na vituo vikubwa vya TV Afrika na hiyo inakuwa rahisi kwao kutanuka katika soko la kimataifa.

0 comments:

Post a Comment