Baadhi
walifukuzwa shuleni Jumanne na wengine kutengwa hadi siku iliyofuata.
Waliokubali kuvua kaptura hizo na kuvalia suruali ndefu hawakuadhibiwa.
Lakini
badala ya kuvalia sare kamili ya wakati wa masomo, kama walivyokuwa
wameagizwa, wanafunzi wanne walirejea shuleni Alhamisi wakiwa wamevalia
sketi.
Watatu waliambiwa wavue sketi hizo lakini wote kwa pamoja wakakataa na ndipo wakaruhusiwa kuendelea kukaa shuleni.
Mwalimu mkuu Kate Williams aliwaambia wanaweza kuvalia mavazi yoyote, mradi yawe ni sehemu ya sare iliyokubalika shuleni.
0 comments:
Post a Comment