KATIKA moja ya vitu vinavyotrend katika mitandao ya kijamii hivi sasa ni pamoja na mahusiano mazuri baina ya Staa wa Bongo fleva yani DIAMOND na aliyekuwa demu wake wa zamani Wema Sepetu.
Sasa kubwa zaidi linavyozidi kuipa promo mahusiano hayo yawe gumzo ni pamoja na wawili nhao kusupportiana kwa kila jambo kupitia hiyoo mitandao.
Alainza Wema Seppetu kushow support ya nguvu kwa Diamond wakati alipokuwa nominee katika tuzo za BET,then Diamond naye akarudisha shukrani kwa kuonyesha LOVE kwa tamasha linalofanywa na Wema.
SASA leo bana,WEMA SEPETU ameonyesha kubwa zaidi,ambapo leo kupitia ukurasa wake wa instagram amemuwish Happy Birthday mama mzazai wa Diamond
Sasa swali la msingi hapa ,si kwamba tunachukizwa na kukua huku kwa mahusiano yao,bali tunajiuliza Je mahusiano yao yatakuwa kwa staili hii tu?bila kussuportiana pia katika show zao?yani kwa maana Diamond aende kwenye show za Wema ,then Wema naye aende kwenye show za Diamond

0 comments:
Post a Comment