Friday, July 8, 2016



KATIKA kile kinachoweza kusomeka kwa sasa toka kwa Zari,mama mtoto wa staa wa BONGO LAND,DIAMOND PLATNUMZ a.k.a SIMBA,ni kama vile ameanza kumfundisha mtoto wa staa huyo wa BONGO anayeitwa TIFFA baadhi ya mambo ya msingi katika maisha.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Zari alionyesha picha akiwa na Binti yake huyo wa pekee katika bwawa la kuogelea huku akiwa amemvalisha TIFFA vifaa maalumu vya kumzuia kuzama.



A photo posted by Zari (@zarithebosslady) on

0 comments:

Post a Comment