Sunday, July 24, 2016


KIONGOZI wa chama cha ACT - Wazalendo Zitto Kabwe tena leo hii amezidi kumpa message Rais JPM ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa.


Kupiti ukurasa wake wa Facebook,Zitto ambaye mara kadhaa siku za nyuma alikuwa akikosoa utendaji kazi wa Rais JPM.amewataka viongozi wote wa vyma vya upinzania kuungan an Rais JPM na kuanza kulitolea macho suala la ZNZ.

0 comments:

Post a Comment