Saturday, August 6, 2016

Le Mutuz Nation at Oldupai Gorge hapa ndio the first attraction ukifika Hifadhi ya Mbuga ya Ngorongoro, hapa ndipo fuvu la binadam aliyewahi kuishi miaka Millioni 1.75 kwa jina Zinjathropus na ni kwa mara ya kwanza ndio nimegundua kwamba jina kamili la mahali hapa ni Oldupai Gorge na sio Olduvai Gorge kama tulivyofundishwa mashuleni.



Na huu ndio mmea unaoitwa Oldupai au Katani Pori unapatikana eneo hili la Oldupai, ni mmea ambao una uwezo wa kutunza maji ndani yake wanyama wa porini wa maeneo haya huutegemea sana wakati wa ukame.



Na hapa ndipo Oldupai penyewe hasa lilipopatikana fuvu la mtu anayesadikiwa kuishi kwa miaka mingi sana iliyopita.


0 comments:

Post a Comment