Bilionea
wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke
mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa
mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa. Bilionea wa
Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke mweusi
tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa mujibu
wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa.
Oprah ana
utajiri ufikao dola bilioni 2.9 kwa mujibu wa Forbes. Hata hivyo orodha
ya hivi karibuni ya Forbes ilionesha kuwa Alakija ana utajiri wa dola
bilioni 2.5.
Utajiri wa mwanamke huyo umetokana na biashara ya mafuta na anamiliki visima vingi vya mafuta nchini Nigeria.
0 comments:
Post a Comment