Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 30, 2016
 |
Katibu
wa Chadema Mkoa wa Mwanza John Thobius Nzwalile amejiuzulu nafasi zake
ndani ya chama hicho na kuhamia CCM kutokana na kukerwa na oparesheni
UKUTA ambayo imelenga kuleta vurugu nchini. Amenukuliwa akisema "Nimejaribu sana kuwaonya wenzangu kuchana na huo ujinga lakini hawasikii"
|
0 comments:
Post a Comment