Friday, August 5, 2016



Naibu Waziri wa Afya Dkt.Hamisi Kigwangalla ametoa saa 24 kwa Jeshi la Polisi kumkamata Dk Mwaka na kumpeleka mahakamani, baada ya kukiuka
amri halali ya serikali ya kumtaka kuacha shughuli za utabibu wa kidaktari wa tiba za kisasa, pamoja na kuwa na shehena ya dawa za tiba asili licha ya kupigwa marufuku na baraza la tiba asili.

0 comments:

Post a Comment