Katika historia fupi ya mtoto Tiffah tangu azaliwe August 6 2015 mambo mengi yalijitokeza mpaka mtoto huyu kutimiza mwaka mmoja na leo August 8 2016
inakusogezea mambo yakufahamu baada ya mtoto Tiffah kutimiza mwaka mmoja ambapo moja wapo kuwa ni uvumi kuwa Tiffah sio mtoto wa staa huyo.
0 comments:
Post a Comment