Posted by Williammalecela.com on Wednesday, August 03, 2016
Mtu
wangu kama unafuatilia mitandao ya kijamii ya wasanii wa Bongo flevani
nadhani hii utakuwa ushakutana nayo kuhusu uvumi wa Star wa Bongo
fleva
Diamond Platnumzkuhusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na
mwanamitindo wa Bongo Hamisa Mobetto.
0 comments:
Post a Comment