Sunday, August 14, 2016

Kimini
Hoteli ya aina yake imefunguliwa jijini London, ambapo wateja na wafanyakazi wote hawavai nguo. Kuna wateja zaidi ya 40,000 ambao wanasubiri nafasi ya kwenda kupata mlo hapo. Ukiingia katika Hoteli hiyo huruhusiwi kuwa na Camera wala Simu.

0 comments:

Post a Comment