Ilikuwa
ni wiki iliyopita ndani ya Viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar
kulikokuwa na Tamasha la Mwendokasi Festival ambapo Snura alikuwa kati
ya wasanii waliotumbuza.
Balaa
lilikuwa pale mwanadada huyo aliyejaaliwa shepu matata alipopanda
jukwaani ambapo staili yake ya kukata mauno ilibamba na ndipo wengi
walipompachika jina la Chura wa Mwendokasi.
“Kiukweli
Snura yuko vizuri sana, hii staili yake mpya ya Chura wa Mwendokasi
ndiyo anamaliza kabisa,” alisema shabiki mmoja aliyekuwa uwanjani hapo.
0 comments:
Post a Comment