Posted by Williammalecela.com on Sunday, August 07, 2016
Jamaa
huyu amefanya kazi kama Daktari Bingwa kwenye Hospitali moja nchini
Nigeria kwa Miaka 10 bila kugundulika. Kosa lake kubwa ilikuwa ni kupiga
picha akiwa ameshika kiungo cha binadamu na kutupia kwenye mtandao wake
wa kijamii ndipo wanoko walipoanza kumfuatilia na kugundua kuwa sio
daktari.
0 comments:
Post a Comment