Mgombea wa Urais nchini Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican
amekiri na kujuta kukosea katika baadhi ya matamshi yake kwenye hotuba
zake mbali mbali. Hatua hiyo ilifurahiwa na kushangiliwa na wafuasi
wake. Katika hotuba yake hiyo amewaondoa hofu wamarekani wenye asili ya
African.
Aidha Trump amesema siku zote ataongea ukweli.
Aidha Trump amesema siku zote ataongea ukweli.

0 comments:
Post a Comment