Sunday, August 14, 2016

Watoto waliofanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa Mbeya wanaendelea vizuri.Wengi wamesharuhusiwa warudi majumbani na wachache wanaendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari na
wauguzi.@GSMFoundationTz wameendelea kudhamini Tiba hii mikoa yote Tanzania bure,next IRINGA

0 comments:

Post a Comment