Staa
wa muziki wa bongo flava Dully Sykes aliachia video ya mdundo mpya
unaoitwa ‘Inde‘ ambao ndani yake alimshirikisha staa kutokea laber ya
WCB Harmonize ambapo katika baadhi ya comments za mashabiki zilionyesha
kumwelekea Harmonize wakidai kuwa kamcopy boss wake Diamond katika style
za kucheza pamoja na uvaaji wake.
Sasa leo August 13 2016 Harmonize kupitia account yake ya instagram kaamua kufunguka ya moyoni na kusema
’Mhhh copy! copy! copy!….. mwisho wa siku hata ukinya utaambiwa kunya kama wewe usimcopy Diamond ebwana mzee #simbaavideo ijayo wacha nianze kuvaa Dera maana nguo zote ushazivaa


0 comments:
Post a Comment