Posted by Williammalecela.com on Monday, August 15, 2016
Blogu ya Wananchi imethibitisha 100% kwamba hawa wapenzi wawili Diamond na Wema wamerudiana tena na kumuweka Zari solemba. blogu hii imegundua kwamba Wema Sepetu kwa muda wa wiki mbili sasa amekuwa akiishi na Star huyo Madale nyumbani kwake Diamond.
0 comments:
Post a Comment