Chama
cha Walimu Tanzania, CWT kimesema hakipo tayari kuwatetea Walimu wakuu
waliofanya udanganyifu wa kuongeza wanafunzi hewa kwenye shule zao kwa
manufaa yao na badala yake Chama hicho kimeitaka Serikali isiishie
kuwavua madaraka bali iwachukulia hatua kali zaidi za kinidhamu.
0 comments:
Post a Comment