Stori: Mwandishi wetu, Risasi Jumamosi
Mtoto
wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tiffah Dangote Agosti
3, mwaka huu ametimiza mwaka mmoja lakini jipya lililoibuka ni kuhusiana
na dawa ‘hirizi’ aliyovalishwa mkononi na bibi yake mzaa baba, Sanura
Kassim ‘Sandra’, Risasi limenyetishiwa ubuyu.
0 comments:
Post a Comment