Wema Sepetu amekuwa miongoni mwa watu maarufu wanaofuatiliwa zaidi mitandaoni, Kwenye kurasa yake kama Instagram anawatu zaidi ya milioni 2.August 4 2016 Wema amefuatiliwa na watu maarufu wawili duniani ambao niDj Khaled na Ex wa rapa Tyga "Blac Chyna".
Pia staa mwingine ambaye amefollow kurasa ya Wema ya Snap Chat ni Blac Chyna na Ujumbe wa Wema ulikuwa hivi>> “Her too… @blacchyna na mniache na ushamba wangu… dont be a bubble buster….
0 comments:
Post a Comment