Bunge la Afrika
Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha
rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki kulingana na gazeti la The Citizen
nchini Tanzania.
Gazeti hilo linasema kuwa wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa yakisubiriwa sana kwa kuwa lugha hiyo imechukua jukumu kubwa la kuwaunganisha wakaazi wa Afrika Mashariki.
Hatua inayofuata ni kwamba mkataba wa EAC utalazimika kufanyiwa marekebisho .
Source BBC

0 comments:
Post a Comment