Wednesday, August 10, 2016

Morning Guys last night nimejionea tena UNAFIKI MKUBWA WA OUR SOCIETY@gigy_money was at the... "TAKE ONE CLOUDS TV SHOW" nikaona vilio vingi kwenye Social Media kutoka kwa Supposedly Wananchi wenye Maadili sana wanaoishi kwa Utakatifu wakilalamikia MAADILI Mimi nipo watsap group la Media Bigs wa Tanzania nikaona Baadhi yao wakilalamikia MAADILI ....guys kama kawaida yetu Tanzania huwa hatujui how to deal with our Social Problems ila huwa tunajua namna ya kumsulubu the messenger atakayetuletea the message kwamba we have a problem in our Society cause any Big thinker anatakiwa kujua kwamba "TAKE ONE TV SHOW" ni kipindi kinacho deal na
Watu Maarufu kwenye our Jamii ....Gigy leo ana Followers 500,000 na ni maarufu mpaka wananchi wetu wapo radhi kulipa Pesa nyingi sana kumuona kwenye Vilabu vyetu vya starehe now kama kweli sisi ni Taifa la maadili then nani ni followers wa Gigy? Hivi seriously unaweza kusema followers wote wa Gigy wanafanana naye kwa lifestyle yake? ....please guys kama Gigy is that bad then anatoa wapi all hawa followers wake? ukweli ni kwamba tunapenda maisha ya Gigy na kama alivyosema mwenyewe pia anawa attract sana watu maarufu wanaomlilia kutembea naye kwa siri sasa tunamsulubu kwa kosa gani? ....I mean kukifunga kipindi kama wengi wanavyolilia kunamaliza tatizo la the Gigys? Hapana tunataka kuficha kwa muda tu Huku tatizo litaendelea kufukuta kwamba as a Nation tunahitaji kuangalia uwezekano wa kuwajali watoto wa aina ya Gigy cause kama umesikiliza HISTORIA ya Maisha yake inasikitisha sana kwamba ni lazima uelewe why she is the way she is ni tatizo la our Social System ...hatuna Pesa as Taifa za kushuka chini na kuwasaidia the Gigys wengi ambao wanaishia mtaani na ndio maana tuna watoto wengi mtaani wanaohangaika kwa sababu hawana Wazazi na hakuna wa kuwasaidia Gigy alitakiwa kusema amefikiaje kuwa maarufu mpaka kuwa na wafuasi wengi kuliko hata Baadhi ya Viongozi wetu wa Taifa? ... kawa mkweli HATUTAKI yaani seriously hili Taifa sometimes ni kama MAFARISAYO wa Biblia WANAFIKI SANA kama Gigy ni tatizo basi ni tatizo letu as Society kama hatupendi let's deal with it from the roots sio kuua the messenger! - le Mutuz Nation


0 comments:

Post a Comment