Mkali
wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili
kutoka kwa mpenzi wake Zari.Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake
Zari wanategemea mtoto wa kiume.“Yah kweli mimi ni baba kijacho,”
Diamond alikiambia kipindi cha Leo Tena “Natarajia Mama Tiffa anipatie
tena mtoto mwingine, atakuwa wa kiume,”Aliongeza, “Na itakuwa mwezi
Disemba mwaka huu! Baada ya hapo sitaongeza tena mtoto mwingine, ni muda
wa kula bata sasa ndio unafata na watoto wetu wawili”Diamond na Zari
tayari wana mtoto mmoja wa kike, ‘Tiffa’ ambaye hivi karibuni atatimiza
mwaka mmoja.Wednesday, August 3, 2016

mwaka mmoja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment