Aishukuru UINGEREZA kwa misaada mbalimbli
- Awaomba kusaidia zaidi katika uwezeshaji viwanda vidogo vya usindikaji, ujenzi wa Masoko, Barabara vijijijini kufikia masoko, Maji na Elimu
Amewaeleza Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa mikoa inayochangia kwa kiasi kikubwa pato la Taifa na upatikanaji wa Chakula kwa kiasi kikubwa na hivyo amewaomba uwezeshaji wa viwanda vidogo ili kuongeza thamani YA Mazao 

Aidha amewaomba uwezeshaji wa masoko vijijini na Barabara za vijijini ili kurahisha usafirishaji wa Mazao
Wawakilishi hao wameridhishwa na hatua serikali inazozichukua za kupambana na rushwa na urasimu na wamepokea maombi YA Mkuu wa Mkoa na maombi hayo yamelenga ktk vipaumbele vyao


0 comments:
Post a Comment