Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 30, 2016
MKUU WA MKOA WA MBEYA MH. AMOS MAKALLA, ATINGA SOKO LA MWANJELWA NA KUAGIZA WAFANYABIASHARA PEMBEZONI MWA SOKO NA WAMACHINGA KUINGIA NDANI YA SOKO - Atoa siku Tano kwa watendaji wa soko kuwapa maeneo - Asema utaratibu wa kuwajengea vibanda utachukua muda - Ahaidi kukaa na CRDB kupunguza bei YA vyumba - wananchi wafurahia uamuzi huo utasaidia SOKO kukaa wateja
MKUU wa Mkoa wa Mbeya amefanya ziara ya kustukiza SOKO la Mwanjelwa
kujionea haki YA biashara sokoni hapo na kugundua SOKO hilo kupooza kwa
kukosa wateja na sababu ikiwa ni bei kubwa YA vyumba na pia wateja kukos
slabs kwa wateja Ili kukabiliana na tatizo hilo amemwagiza
mkurugenzi wa jiji kuwaingiza ndani ya eneo la wazi la SOKO wamachinga
wote na wanaofanya biashara pembezoni mwa soko kwani kufanya hivyo
kutaongeza wateja na soko kuchangamka na pia italeta ushindani ulio Sawa
kwani walio nje YA soko hawalipi ushuru na wanasababisha msongamano. "
Mkurugenzi nimesikia madiwani wanawakwamisha kuwasaidia wananchi Hawa
nilipowaondoa kule Kabwe maeneo hatarishi walipinga, nilipofuatilia
ufisadi wa soko hili walipinga wamesahau kabisa kuwa Hawa ndiyo
waliowachagua kwa kuwa mimi ndiyo kiongozi wa serikali tekeleza agizo
hili ktk siku 5 ili tuwasaidie watu Hawa " Kuhusu kodi YA vyumba
amehaidi kukaa na benki YA Crdb tarehe 15 septemba ili kupunguza kodi
na riba ili kuleta u nafuu kwa wapangaji
0 comments:
Post a Comment