Posted by Williammalecela.com on Monday, August 15, 2016
 |
| Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh.Paul Makonda amekabidhi ramani ya jengo la
Makao Makuu BAKWATA kwa Mufti Mkuu na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar, analotegemea Kujenga Mwaka huu. Ni jengo lenye
thamani ya bilioni 5 na milioni 80. |
0 comments:
Post a Comment