Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 30, 2016
 |
| Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda leo alipokutana na Askari wa JWTZ ambao wapo katika matayarisho makubwa ya Sherehe maalum za JWTZ kufikisha Miaka 52 toka kuzaliwa zitakazofanyika terehe 1 September. |
0 comments:
Post a Comment