Posted by Williammalecela.com on Thursday, August 25, 2016
 |
"Kikao cha wakuu wa mikoa , wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa mikoa saba ya nyanda za juu kusini kikmefungwa rasmi leo
Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla,
ambaye
amesema mambo Muhimu yakiyojadiliwa ni pamoja na Kuratibu, kusimamia
utekelezaji wa miradi ya maendeleleo, miradi yote inayotekekezwa
ieandane na thamani ya fedha, kufuatilia Fedha za kunusuru kaya maskini
kuhakikisha zinawafikia walengwa" |
0 comments:
Post a Comment