Posted by Williammalecela.com on Saturday, August 20, 2016
 |
Remy
mwanamusic wa Hip Pop kutoka Bronx. NY atoka jela alikukuwa anatumikia
kifungo cha miaka nane lakini baada ya kuonyesha tabia mzuri kwa kipindi
hicho alicho kuwa nyuma ya nondo alipunguziwa na kuwa miaka 6.
Remy Ma
mwenye umri wa mika 34 alitiwa hatiani kwa kosa la kumfyatulia risasi
mwanamke mwenzake tumboni. Terror Squad walikuwa wamemmiss mwanachama
wao kwa kipindi hicho cha miaka 6 na sasa ujio wake utafungua ukrasa
mwingini na kuanza kufanya kazi pamoja tena kuwafurahisha wa penzi wa
music wa hip pop. Akiwa jail Remy aliweza kufunga ndoa na boyfriend wake
wa muda mrefu Papoose ambae nae ni mwanamusic wa hip pop kutoka
Brookyn.NY na akiwa anatoka jail alipokelewa na mume wake huyo pamoja na
manager wake na kuanza safari ya kuelekea nyumbani Bronx kuanza maisha
mapya. Ukitaka kumjua Remy Ma au jina lake kamili ni Reminisce Smith
shuka na video music yake hapa chini ya wimbo wake wa ""There's
something about me"" based on a True Story aliokuwa ameutoa mwaka
2006. | | |
0 comments:
Post a Comment