Posted by Williammalecela.com on Wednesday, August 24, 2016
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu
amesema mmiliki wa jengo la Club ya Bilicanas, Freeman Mbowe ni miongoni
mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo waliopewa notisi inayoishia mwezi huu.
0 comments:
Post a Comment