Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya "Millicom Group"akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo (kushoto) Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bibi Rachel Samren Naibu Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Millicom Group pia Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Zanztel (katikati) Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya "Millicom Group"(wa pili kulia) na (kushoto) Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Unguja leo kwa mazungumzo na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya "Millicom Group"akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo.
Mkurungenzi
Mtendaji wa Millicom Group Mauricio Ramos akiwa kwenye ya pamoja na wanafanya
kazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel Zanzibar baada ya kufanya ziara ya
kutembelea ofisi za kampuni hiyo Zanzibar.
Mkurungenzi
Mtendaji wa Millicom Group Mauricio Ramos akifurahia zawadi aliyokabidhiwa na wanafanya
kazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel Zanzibar baada ya kufanya ziara ya
kutembelea ofisi za kampuni hiyo Zanzibar.


0 comments:
Post a Comment