Rnb staa Ray J aliyewahi kuwa na mahusiano na Kim Kardashian amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu ‘Princess Love’ ambaye ni staa wa kipindi cha tv cha ‘Love & Hip Hop’.
Kwenye harusi yao mwimbaji Anthony Hamilton aliimba wimbo wa “The Point of It All”.
0 comments:
Post a Comment