Posted by Williammalecela.com on Monday, August 15, 2016
Diamond Platnumzamefanikiwa
kile ambacho hakuna msanii wa Tanzania amewahi kufanikiwa huku kukiwa
na wasanii wachache tu wa Afrika wamekifikia – kuingia kwenye playlist
ya kituo cha redio chaBBC Radio 1Xtra.Imefahamika kupitiaPlaylistya wiki nzima ya kituo hicho maarufu cha redio iliyotolewa Ijumaa hii, August 12.DiamondnaP-Square, wanaungana naWizkidkama wasanii pekee wa Afrika waliopo kwenye playlist ya kituo hicho.
Hiyo ina maana kuwaKidogoitakuwepo kwenye mzunguko wa nyimbo za kila siku zinazochezwa kwenye kituo hicho cha redio kwa wiki nzima na kuna uwezekano wa kuendelea zaidi na kuongezeka rotation yake
0 comments:
Post a Comment