Sasa Agosti 2, 2016 staa huyo amepatikana kwenye Exclusive kayaongea haya >>> ‘Mimi na basata tumeshamalizana kuanzia sasa hivi watu waendee tu ku-request wimbo unaendelea kupigwa media zote mimi na basata tumeyamaliza, wimbo una version mbili na video nne tofauti’
‘Video ya kwanza itaanza kutoka wiki ijayo, version ya pili ya audio ya ‘pale kati’ ndio ina marekebisho ambayo yalifanywa kutokana na maagizo ya BASATA, wimbo huu hautakuwa na utofauti sana na ule wa mwanzo ila maneno machache tu nimebadili kama walivyotaka‘ – Nay
0 comments:
Post a Comment