
Ni kweli Mwenyekiti amekusudia kufanya hivyo kwa sababu anasakamwa , anatukanwa na kudhalilishwa na Makonda na Mzee Akilimali.
Lakini
kibaya hakuna tamko kutoka kwa Mwana-Yanga yeyote aliyekemea hilo na
kuonyesha kumuunga mkono MWENYEKITI .Hivyo anajiona mnyonge na amesuswa
bora akae pembeni. . Hivyo tumewasiliana viongozi wa Kanda wote tumeamua
Tuitishe kikao cha Dharula kesho SAA 4 Asubuhi pale makao makuu tutatoa
Tamko la pamoja na wengine wataanza kuongea na vyombo vya habari Leo
hii.
Hima Tuhamasishane tuwe pamoja kesho .Tuwasihi wanachama wetu wafike club.
Katibu Mkuu.
0 comments:
Post a Comment