Msanii wa WCB Wasafi Harmonize amefuta tattoo alizochora awali na kuweka mpya, Tattoo ya zamani ya Diamond imefutwa na ameweka Tattoo ya Almasi, Chini yake amechora tattoo mpya ya Diamond, picha ya Mama yake mzazi na jina lake la kisanii HARMONIZE.
Hizi picha Exclusive kwenye Sammisago.com
0 comments:
Post a Comment