Wednesday, August 3, 2016


Watumiajiwamabasiyamwendokasiwarahisishiwajinsiyakulipiakadizaozakusafiria,HayayametokananaKampuniyaMawasilianoyaVodacom Tanzania kwakuingiaubianakampuniyaMaxcom Africa kwakuhakikishakutoahudumazilizoborakwawatumiajiwotewanaotumiausafirihuokwakuwezakuongezaSaliokwenyekadizaozakusafiriaza DART kwaurahisizaidikupitiahudumaya M PESA . Hudumahiiimeanzarasmitarehe 1 Agosti2016 inayowalengawatumiajiwotewamabasiyamwendokasijijini Dar es salaam.

AkiongeleahudumahiiSitoyo Lopokoiyit, Afisamtendajimkuuwahudumazakifedhawa Vodacom Tanzania,alisema ‘M-PesaimeongezawigozaidinaunafuukwawatumiajiwamabasihayambalinanjianyinginezilizokuwazikutumikakamaMawakalawaMaxmalipo au kwenyevituombalimbalivyamabasiyaMwendokasi (DART). UshirikianokatiyaVodaco, Maxcomna DARTnimuendelezowajuhudizakuhakikishakwambahudumaya M-Pesainaendeleakumrahisishianakumboresheamaishayakilasikumtanzania’
NayeMkurugenziwaMaxcomAfrica ,Juma Rajabualisema‘Mfumouliowekwana MaxmalipokwenyeusafirihuuwaMabasiyamwendokasiniMfumowakisasanasalamazaidiunaotumiaKadimaalumupamojanaTiketizenye QR codes, piaMfumohuuumeboreshwazaidikwakuunganishwanaMakampunizamawasilianokama Vodacom Tanzania ambapowasafiribilakupotezamudawanawezakuwekaSaliokatikakadizaozakusafiriakupitiahudumailiyo bora nay a uhakikaya M PESA. Kwamaraya kwanza dunianina Africakwaujumla,Vodacom Tanzaniainaingiakwenyekitabu cha historiakwakuwakampuniyakizalendoiliyoletamapinduzikatikaSektayaUsafiri’
David Mgwassa, MkurungezimkuuwaUDART alisemaMatumiziyakadinimuendelezowautambuziwa Tanzania, kwenyekuelekeamaishayakisasa. ‘Kadiya DART inamsaidiaabiriakuondoakeroyakutembeanapesataslimunakupangafolenikwaniinamuwezeshakulipianaulikablaya safari. Uwezowakutumiasimuyakeyamkononiunaondoausumbufuwakupangafolenikwenyevituovyamabasiyamwendoharaka. Kizurizaidinikwambakadihiiinawezakujazwakiwangochochote cha fedhakisichozidishilingi 30,000 kwawakatimmojanahainamudawakikomowamatumizinafedhainayokuwandaniyakadiitaendeleakuwemokwenyekadibilakikomompakamhusikaatakapoitumia’
KuongezasaliokwenyekadiyakoDART kupitia M-Pesafuatahatuarahisizifuatazo;
1.       Piga *150*00# chagua LIPA KWA M-PESA,
2.       Chagua DART,
3.       Wekanambayakumbukumbuambayoninambayakadiyakoya DART
4.       Weka KIASI (Mfano 2000, 5000, 10000 n.k),
5.       Weka PIN yakoya M-Pesa
6.       Bonyeza 1 kukamilishamuamala. Utapokeaujumbemfupikuthibitshamuamalawako.
Aidha, katikahatuanyingine, UDART wameshushabeiyakadikutokashilingi 5,000 yaawalimpakashilingi 2,000 kwamaanayabeiyakadishilingi 500 nanauliyakuanziashilingi 1,500.

0 comments:

Post a Comment