Tuesday, August 2, 2016

Waziri mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meneja wa Kiwanda cha sukari cha Kagera,  Ashuwin  Rana baada ya kuwasili kwenye  kiwanda  cha sukari cha Mtibwa  baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa Agosti 2, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene Kebwe na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Kagera Sugar na Mtibwa Sugar, Seif  Ali Seif .
 Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa na Mkewe Mary wakisalimiana  na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa  wakati alipotembelea kiwanda hicho Agosti 2, 2016.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephene Kebwe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipokitembelea kiwanda hicho Agosti 2, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

0 comments:

Post a Comment