Posted by Williammalecela.com on Friday, September 02, 2016
Ni
Sept 2, 2016 ambapo mwigizaji wa Filamu, Shamsa Ford ataziandika
headlines leo baada ya kufunga ndoa na mchumba wake mpya katika msikiti
Uliopo Kijitonyama Dar es Salaam. Hizi ni baadhi ya picha kutoka saloon ambapo Mwigizaji huyo anafanyiwa urembo kabla ya kwenda msikitini.
0 comments:
Post a Comment